TANGAZO LA MNADA WA HADHARA

MAJEMBE AUCTION MART KWA NIABA YA AFRICAN MICROFINANCE LTD, ITAFANYA MNADA WA HADHARA WA NYUMBA NA VIWANJA KWA MAENEO NA TAREHE KAMA IFUATAVYO;

S/N TAREHE YA MNADA DHAMANA/ SIFA
1 04.12.2017 NYUMBA ILIOPO BLOCK. Y. TABATA ILALA DSM
2 06.12.2017 KIWANJA KILICHOPO BLOCK 10 MABWEPANDE KINONDONI DSM
3 08.12.2017 NYUMBA ILIOPO BLOCK D. KINYEREZ-ILALA DSM
4 11.12.2017 NYUMBA ILIOPO SHARIFU SHAMBA NA ILA/ILL/SSH18/47-ILALA DSM
5 13.12.2017 KIWANJA KILICHOPO PLOT NO 424 BLOCK B. MBUTU TEMEKE

MASHART YA MNADA KUZINGATIWA
MUDA WA KUANZA MNADA NI SAA 5:00 ASUBUHI

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU NA. 0715212534, 0719718515