SASA TUMEHAMIA JENGO LA TANZANITE TOWER

African Microfinance Limited TUMEHAMA lakini bado tunaendelea kutoa mikopo kwa haraka na riba nafuu.
Tumehamia ghorofa ya tano(5) jengo la TANZANITE TOWER lililopo makutano ya barabara ya SAM NUJOMA na LUFUNGIRA karibu na Mwenge na kanisa la Askofu Kakobe.
African Microfinance Limited sasa tunatoa mkopo kwa ajili yako wewe Meneja na Mkurugenzi wa kampuni.
Ni rahisi sana kupata huduma hii,wala huhitaji kuja ofisini,tunakufuata uliko bila ya gharama ya ziada.
Mkopo huu hauhitaji udhamini wala utambulisho wa mwajiri wako na ndani ya saa 12 baada ya kupokea nyaraka unakua uimepata fedha zako.
Karibu ofisi zetu mpya TANZANITE TOWER ghorofa ya tano(5). Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0767 816 815 au 0716 916405 au 0713 989 909.